BAADA YA KUMALIZA"LA PROJECT" NCHINI GHANA, WEMA SEPETU ATUA NCHINI, CHEKI MAPOKEZI YAKE

Mapokezi ya Wema Sepetu

Staa Wema Sepetu ambaye alikuwa nchini Ghana akishoot filamu yake mpya akiwa na staa kutoka Ghana Van Vicker. Amereja nchini, Filamu hiyo ambayo itatoka siku za karibuni itaitwa Day After Death ambapo Wema na Van Vicker wameigiza kama mtu na mume wake.
Picha zingine za mapokezi ziko hapo chini
Mapokezi ya Wema Sepetu

Mapokezi ya Wema Sepetu

Mapokezi ya Wema Sepetu
Hii ni Picha mojawapo inayomuonesha Wema sepetu akiwa na Msanii Mwenzake walioshirikiana katika hiyo project wa nchi ya Ghana Van Vicker.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post