VIDEO::: PAUL MAKONDA APINGA VIKALI KUHUSIKA NA FUJO ZA MDAHALO.

Paul Makonda
KATIBU Mwenezi Idara ya Hamasa na Chipukizi ya UVCCM, Paul Makonda, amekana kuhusika katika vurugu zilizotokea jana katika mdahalo wa Katiba Iliyopendekezwa ambao ulioandaliwa na Taasisi ya Mwalimu Nyerere chini ya Mwenyekiti wake Joseph Butiku.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post