JE UMEMMISS RAY C?, SHE IS BACK...!!! CHECK IT OUT

Kama umeimiss sauti ya Rehema Chalamila a.k.a Ray C, hii inaweza kuwa habari njema kwako.
ray c
“Ray C The Singer is Back,” ameandika muimbaji huyo kwenye Instagram. “Napenda kuwajulisha mashabiki kuwa kuanzia sasa muda wowote,saa yoyote,dakika yoyote,siku yoyote kuanzia sasa Single yangu mpya MshumMshum/Walimwengu itaanza kusikika kwenye simu zenu plus kwa wale wapenzi wa mitandao Kama Mimi ya Facebook,Twitter,Instagram,Google,YouTube,blogs na websites mbalimbali mtaweza…..Kwa mashabiki wangu wa ndani na nje ya nchi mlichokuwa mkisubiri tayari kishamalizwa!!!!Kazi kwenu………Stay Tuned for more info……Love u guys…mmmmwaaaaah!i miss my beautiful voice too……I jst can’t wait to sing live for u guys!"

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post