Unknown Unknown Author
Title: PICHA:: DIAMOND PLATNUMZ NA WAJE WASHOOT VIDEO YA COLLABO YAO JIJINI CAPE TOWN, SA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii...
Diamond Platnumz ameamua kusafiri hadi jijini Cape Town, Afrika Kusini kimya kimya kwenda kushoot video ya wimbo alioshirikishwa na msanii wa Nigeria, Waje.
Diamond na Waje
Video hiyo imefanyika kwenye fukwe za bahari ya Atlantic jijini Cape Town.
Diamond
Diamond alipost picha hii kwenye Instagram bila kusema chochote ni wapi alipoipigia
Diamond na WajeDiamond na Waje wakiwa location
WAJE

Waje
Picha hii iliweka Instagram na Jesse Ebuka Okoli aliyeandika:On set yesterday with the ever amazing @officialwaje ft diamond #Coco baby music video shoot. ❤️I bet y’all the song is one to listen to,the beat is fresh and as always Waje gave the finishing touches with her super sweet voice

Picha: African Muzig Mag, Instagram

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top