Unknown Unknown Author
Title: RAIS UHURU KENYATA WA KENYA AWA RAISI WA KWANZA KUPANDA DALADALA KUTOKA OFISINI KWENDA MJINI
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambayo ni ...
Kenyata on Dala dala
Rais uhuru Kenyata ameendelea kujizolea umaarufu mkubwa nchini Kenya kutokana na matukio mengi anayoyafanya, mengi yakiwa yale ambayo ni mara chache sana kumuona Rais akifanya. Mfano ni kama lile tukio la kutoka ikulu akiwa hana bila ya walinzi, kucheza mziki katika matamasha mbalimbali na lile la kusimamisha msafara wake kisa tu anunue karanga.

Jipya alilolifanya siku ya jana ni pale alipoamua kutumia usafiri wa Matatu au kwetu tunaita Daladala kwenda mjini. Inasemekana Rais Kenyata ndio rais wa kwanza kutumia usafiri huo akiwa madarakani, marais wote waliopita hawajawahi kuutumia wakiwa madarakani.

Kikubwa kingine alichosema na kimeungwa mkono na vijana wengi ni kuruhusu Daladala kuchorwa Graffit jambo ambalo limekua likizuiliwa na uongozi nchini humo kwa mda sasa. Rais Kenyata alisema "To be frank why are we interfering with graffiti on Matatu? Let us promote our young people – Uhuru Kenyatta ” 

Unaweza tazama picha za tukio hilo hapa chini::
Kenyata on Dala dala

Kenyata on Dala dala

Kenyata on Dala dala

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top