
Hukumu ya kesi hiyo imetolewa katika Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam chini ya Jaji Augustine Shangwa huku Sheikh Ponda akitetewa na Wakili wake Juma Nassoro.
Sheikh Ponda bado anakabiliwa na kesi ya uchochezi ya mkoani Morogoro hivyo alirudishwa Segerea mbali na kushinda kesi hiyo.
Tags
HABARI ZA KITAIFA