Unknown Unknown Author
Title: TUPOGO REMIX YA OMMY DIMPOZ KUACHIWA KESHO, HIVI NDIVYO ALIVYO INADI VIDEO NA AUDIO HIYO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameandika katika Ukurasa wake wa Instagram kuwa Anatarajia kuachia Audio na Video ya TUPOGO REMIX siku...
Msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz ameandika katika Ukurasa wake wa Instagram kuwa Anatarajia kuachia Audio na Video ya TUPOGO REMIX siku ya Kesho. Hivi ndivyo alivyoandika:- "Tomorrow si ndo Kesho? Basi jiandae...bonus Track from the Album TUPOGO REMIX audio & Video ushawahi kuona waswahili wanavyotwerk kwenye Treni?"

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top