Unknown Unknown Author
Title: MABALOZI WWA HIFADHI ZA TAIFA WA TANAPA WATEMBELEA BUNGENI DODOMA LEO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mabalozi wa Hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA,waliotembelea Bunge...
Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu akisalimiana na mabalozi wa Hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA,waliotembelea Bungeni mjini Dodoma leo.
Kikundi cha Vijana ambao ni mabalozi wa hifadhi za Taifa zilizo chini ya TANAPA wakiwa katika picha ya pamoja na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Lazaro Nyalandu.Vijana hawa wako mjini Dodoma katika ziara ya kimafunzo.

Picha na Deusdedit Moshi.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top