Unknown Unknown Author
Title: BAADA YA KUMTEMA DIAMOND PLATNUMZ, WEMA SEPETU AANZA MAISHA MAPYA, CHEKI HICHI KIPYA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya tetesi za zilizopo kwa wapenzi wawili hawa wa muda Mrefu na waliojizolea Umaarufu mkubwa kwa kazi zao na Skendo za hapa na pale ha...
Baada ya tetesi za zilizopo kwa wapenzi wawili hawa wa muda Mrefu na waliojizolea Umaarufu mkubwa kwa kazi zao na Skendo za hapa na pale hapa Bongo, Nawazungumzia Diamong Platnumz na Madam Wema Sepetu kama wengi wanavyomuita.
wema sepetu
Likiwa ni Jambo la Siri ya ndani hadi Hivi leo hakuna yeyote kati yao alieweza Kufunguka kinagaubaga kuhusu sakata hili la kuacha kuwa na Mahusiano ya Kimapenzi kati yao wawili wote wamekuwa wakitumia Social Media kueleza kwa mafumbo hisia zao na kile kinachoendelea.

Hivi leo imekuwa ni Zamu ya Wema sepetu kusema Kitu juu ya Mkasa Huo na haya ndio Maneno aliyo yaandika.."Wen one door closes, dont stress..!, dont think...!God has another one with a Brighter and Nicer future jus around da corner waiting for u to Open IT...!!! Take it from ME...!!!"
wema sepetu
hakuishia hapo tu baadae akaja na hii hapa...."Only Time tells everything...😉😉😉"

Je ukisoma Alamaza Nyakati katika hili Movie linaloendelea je Staring ameshauwawa au vipi?

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top