Unknown Unknown Author
Title: HUYU NDIO STAA WA BONGO FLEVA ALIE JIBADILI JINA MARA BAADA YA KUBADILI DINI, STORI KAMILI IKO HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Star wa hit single ya Presha Hafsa Kazinja ambayo alishirikishwa mkali mwingine kutoka B Band Banana Zoro November 06 ameiteua kuwa siku ra...
Star wa hit single ya Presha Hafsa Kazinja ambayo alishirikishwa mkali mwingine kutoka B Band Banana Zoro November 06 ameiteua kuwa siku rasmi ya kuwafahamisha mashabiki wake na watu wake wa karibu kuhusu jina lake jipya analotumia kwa sasa.
Hafsa Kazinja
Hafsa ambaye tangu aanze kujihusisha na kanisa ni miezi 10 kwa sasa, November 05 2014 ameamua kubatizwa rasmi na kuwa Mkristo kutoka kwenye dini yake ya awali.

Kwa sasa anaitwa Christina Kazinja na amebatizwa katika kanisa la Zoe Christy Ministry lililopo Tabata Segerea Dar es salaam na hii ni baada ya matatizo aliyoyapata na kusema kuwa kaona Yesu ndiye mkombozi wa maisha yake kwa sasa.

Hafsa Kazinja ni miongoni mwa mastaa wachache wa Tanzania waliokuwa wakitumia majina yao halisi kwenye kazi zao za sanaa na hivyo kwa kubadilisha kwake dini inamaanisha na jina limebadilika, atatumia

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

  1. Hii ni pamoja na wale wote wenye fikra kama hizo. Mungu achezewi wala hafananishwi; hii ni dunia na kesho ndo tutakuta hatima yetu.

    ReplyDelete
  2. Anamtegemea Yesu na si mungu aliyemuumba Yesu!? Imeandikwa kwamba amelaaniwa kila a.tegemeaye MTU badala ya mungu

    ReplyDelete

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top