HII NDIO KAULI YA ZITTO KABWE KUHUSU WATU WANAOLALAMIKIA HATUA YA PAC DHIDI YA TPDC

Zitto Kabwe
Muda mfupi uliopitta Mh. Zitto Kabwe ameeleza hisia zake juu ya watu wanao lalamikia uamuzi wa kamati ya PAC juu ya TPDC, Mh Zitto kupitia Page yake ya Facebook ameweza kueleza hisia zake hizo na Kusema haya hapa 
"Wanaolalamika kuhusu hatua zilizochukuliwa dhidi ya TPDC hawalalamiki kuhusu usiri wa mikataba na ubovu wake. PAC sio kamati lalamishi bali ni Kamati inayotenda.
Mamlaka ya Bunge kupata mikataba haihojiki wala haizuiliki"


1 Comments

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

  1. Kamati nzima naipongeza na sio haka ka zito kalikoona huu ndo muda wa kupata ujiko na kuosha cv. Yaani haka kajamaa nisivyokapnda, yani kama ebora

    ReplyDelete
Previous Post Next Post