BOB JUNIOR KAHUSIKA KWENYE U HEARD LEO TAREHE 7/11/2014 YA XXL

BOB JUNIOR

Kwenye XXL ya CloudsFM leo U Heard inamhusu msanii kutoka Sharobaro Records Bob Junior na ni baada ya kusemekana kuna picha zake zimesambaa mtandaoni akiwa mapenzini. 

Bonyeza play hapa chini ili kusikiliza..

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post