Unknown Unknown Author
Title: BAADA YA KIM KADARSHIAN KUWA KWENYE TREND YA #BreaktheInternet MWANAMUZIKI HUYU NAYE AFUATA NYAYO
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu Staa Kim Kadarshian kukaa kwenye headlines kutokana na picha zake zikimuonyesha akiwa tupu kuzagaa kweny...
BreaktheInternet
Ikiwa zimepita siku kadhaa tangu Staa Kim Kadarshian kukaa kwenye headlines kutokana na picha zake zikimuonyesha akiwa tupu kuzagaa kwenye mitandao, staa mwingine tena huenda akaingia kwenye trend ya #BreaktheInternet.

Kwenye ukurasa wa Rapa Wiz Khalifa ameweka picha inayomwonyesha akijimwagia maji kichwani huku akiwa mtupu ndani ya bafu.

Bado haijafahamika kama amefanya hivyo kama njia ya kuyatangaza maji hayo au ana maana ipi.
Wiz Khalifa

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top