Unknown Unknown Author
Title: RONALDO AIFIKIA REKODI YA GWIJI WA SOKA RAHUL, HUKU AKIWA NYUMA YA MESSI KWA GOLI 3, ANGALIA VIDEO HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Real Madrid jana ilisafiri mpaka Uswis kwenda kucheza na klabu ya FC Basel katika mfululizo wa mechi za makundi za ligi ya mabingwa wa ul...
Real Madrid jana ilisafiri mpaka Uswis kwenda kucheza na klabu ya FC Basel katika mfululizo wa mechi za makundi za ligi ya mabingwa wa ulaya.
Cristiano Ronaldo
Real Madrid walifanikiwa kutoka na ushindi wa 1-0 shukrani kwa mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo aliyefunga goli pekee kwenye mchezo huo na kuweza kuifikia rekodi ya gwiji wa klabu hiyo Raul Gonzalez ya ufungaji wa magoli kwenye michuano ya ulaya – Ronaldo sasa amefikisha magoli 71, sawa na Raul huku akiwa nyuma kwa magoli matatu kumfikia Lionel Messi mwenye magoli 74.
Angalia goli la kihistoria la Ronaldo hapa

Basel 0 - 1 Real Madrid - Champions League 2014... by Football--Live

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top