Unknown Unknown Author
Title: AFYA:: HII NDIO TOFAUTI KATI YA TEZI DUME NA BUSHA.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Tezi dume na busha ni vitu viwili tofauti, tezi dume ndio kisababishi kikuu cha saratani ya kizazi kwa wanaume (prostate cancer) hutokan...
Tezi dume
Tezi dume na busha ni vitu viwili tofauti, tezi dume ndio kisababishi kikuu cha saratani ya kizazi kwa wanaume (prostate cancer) hutokana na kuvimba kwa tezi dume ambayo hutokea kwa wanaume kuanzia umri wa miaka 28 na kuendelea.

Ila busha inabaki kama hali ya kujaa maji katika mifuko ya korodani ambayo husababisha uvimbe usio na maumivu na hutokea katika umri wowote hasa kwa watoto na wazee.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top