DIAMOND PLATNUMZ ATAJWA TENA KUWANIA TUZO KUBWA NCHINI NIGERIA "THE HEADIES 2014", MPIGIE KURA MTV EMA 2014

Diamond Platnumz
Msanii Diamond ametajwa kuwania tuzo zingine za Nigeria zinazofahamika kama The Headies 2014. Diamond ametajwa kwenye kipengele cha Msanii bora wa Afrika yani [ Best African Artist] na anachuana na wakali kama Mafikizolo wa South Africa, Sarkodie wa Ghana na REBess.


Tuzo zinafanyika October 25,2014.
The Headies 2014 Awards
Wasanii wengine wa Nigeria waliotajwa kuwania tuzo hizo katika vipengele tofauti ni pamoja na Davido, Wizkid, 2Face, Tiwa Savage, KCee, Burna Boy na wengine.

Ingia hapa kupata orodha kamili


KUMPIGIA KURA KATIKA TUZO ZA MTV EMA 2014 BOFYA HAPA NI RAHISI SANA


********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post