Unknown Unknown Author
Title: NEXT LEVEL YA ADAM JUMA KUSAKA VIPAJI VYA WAIGIZAJI NA MODELS JUMAMOSI HII (October 4)
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Kampuni ya Next Level inayomilikiwa na muongozaji wa video wa Tanzania, Adam Juma imeamua kutafuta vipaji vipya vilivyoko mitaani, kwa kua...
Kampuni ya Next Level inayomilikiwa na muongozaji wa video wa Tanzania, Adam Juma imeamua kutafuta vipaji vipya vilivyoko mitaani, kwa kuandaa shindano la kusaka vipaji litakalofanyika Jumamosi hii October 4 pale Mzalendo Pub.
TANGAZO
Vipaji vinavyotafutwa ni pamoja na models, waigizaji pamoja na watangazaji wa TV.
********************************************
LindiYetu.com ndio mtandao wako kwa habari za burudani, Siasa, Michezo ya Africa na Nje, Tuwe pamoja huku pia >> Instagram Twitter Na Facebook

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top