VIDEO YA SIKU:: KIPI SIJASIKIA BY @ProfessorJayTz ft @diamondplatnumz

Prof Jay ameingiza mjini Video mbili Kwa wakati mmoja kutoka katika single zake mbili KIPI SIJASIKIA aliofanya na Diamond Platinum ambayo imetengenezwa na Director Adam Juma, pia video ya Tatu chafu ambayo director ni Hefemi.
WAWEZA BOFYA HAPA KUITAZAMA YOUTUBE

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post