BREAKING NEWS:: BASI LA BARAJI LAUNGUA MOTO JIONI HII

lindiyetu news
Basi linalofanya safari zake za kila siku kutoka Ruangwa Kwenda Dar es Salaam limepata ajali ya kuungua moto na kuteketea maeneo ya michenga Ruangwa Mkoani lindi Hivi leo. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Lindi amethibitisha Taarifa hii. Habari zaidi tutakuletea Hivi Punde.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post