
Viongozi wa Kanisa la A.C.K wamejitokeza kuyazungumzia madili potovu miongoni mwa wachungaji kufuatia kufumaniwa kwa mchungaji mmoja wa kanisa la ACK pumwani akiwa katika hali tata na mke wa wenyewe hotelini.wakati huo huo anayedaiwa kuwa mumewe mwanamke huyo amejitokeza kuelezea fedheha yake,akidai kutomhitaji tena mkewe. Jionee.
********************************************
Tags
HABARI KIMATAIFA