Unknown Unknown Author
Title: UKISTAAJABU YA MUSSA...!!! MIPIRA YA CONDOM KUTUMIKA KUPIKIA CHAKULA, JIONEE MWENYEWE
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mipira ya kufanyia ngono, condoms, imepata matumizi mapya; kutoka kwa ubunifu ulioanzia nchini Japan Mwandishi wa comic za Kijapan zinazoi...
Mipira ya kufanyia ngono, condoms, imepata matumizi mapya; kutoka kwa ubunifu ulioanzia nchini Japan
Mwandishi wa comic za Kijapan zinazoitwa “Manga,” Kyokuse Kagami, ameandika kitabu pepe kinachoitwa, Condom Meals I Want to Make for You; yaani “vyakula vya condom ninavyotaka kukutayarishia”
Upishi wa Chakula kwa condom

Kitabu hicho kina takriban viungo 11 tofauti vinavyoonyesha jinsi condom zinavyoweza kutumiwa kutayarisha chakula. Baadhi ya “recipe” hizo ni kama “Condom Meat Stuffing (nyama)”, “Condom Escargot Cooked with Butter (konokono waliopikwa na siagi),” na “Condom Cookies (biskuti)”
Upishi wa Chakula kwa condom

Pamoja na kufundisha kupika, kitabu hicho pia kinahamasisha usalama katika ngono. Website iliyoandika habari za kitabu hiki, Narinari, imeelezea kwa kusema: “Wanaume wa Japan ni wachemshaji katika kutumia condom, kitu kinachosababisha usambaaji wa mangonjwa ya zinaa, na mimba zisizotakiwa,” kwa hiyo kitabu hiki kitasaidia ku-promoti condom na kuonyesha udumifu wake.
Unaonaje? Unaweza kuthubutu kula chakula vilivyotayarishwa kwa kutumia condom?
Upishi wa Chakula kwa condom
Picha za kitabu hizo zikionyesha jinsi ya kutayarisha chakula na condom
Upishi wa Chakula kwa condom
Hapa chini ni picha za baadhi ya kurasa za kitabu hicho zikionyesha menyu tofauti zilizotayarisha na condom
Upishi wa Chakula kwa condom

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top