BREAKING NEWS:- MTU MMOJA AFARIKI KATIKA TAMASHA LA #SERENGETIFIESTA SHINYANGA.

Mwili wa mussa shija ukiwa kwenye chumba cha kuifadhia maiti kwenye hospitali ya mkoa wa shinyanga. 

Vyanzo vya habari vimesema kuwa marehemu shija alifariki baada ya kupigwa na kitu kizito kichwani wakati akiwa kwenye tamasha hilo usiku wa ijumaa. Uchunguzi  wa kitaalamu umebainisha kwamba marehemu alipasuka fuvu la kichwa, tamasha hilo lilifanyika katika  uwanja mdogo wa kambarage Mjini Shinyanga.

Marehemu shija ni mkazi wa chibe manspaa ya shinyanga ametambuliwa na ndugu zake.
HIVI NDIVYO ILIVYO KUWA NDANI YA  UWANJA MDOGO WA KAMBARAGE UMATI HUU WA WATU WAKISELEBUKA PASIKUJUA YAJAYO

Chanzo:- shalleyhabari

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post