BREAKING NEWS:: ALIYEUA HUKO LIWALE NA YEYE LEO AMEUWAWA

Lindiyetu News
Mwananchi mmoja aishie huko Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi Hapo juzi aliweza kumchoma Kisu Mwenzake na Kusababishia kifo na kukimbia kusikojulikana, Wananchi waliweza kufanya jitihada za makusudi za kumsaka mtuhumiwa huyo na leo kufanikisha kumkamata na kuweza Kumpa kichapo cha nguvu ambacho kimepelekea Kifo chake.
KWA HABARI NA PICHA TUTAKULETEA HIVI PUNDE, KAA NASI

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post