VANESSA NA JUX HAKUNA SIRI TENA.

Jux na Vanessa Mdee
MBONGO-Fleva anayefanya poa na ngoma yake ya Nitasubiri, Juma Mussa ‘Jux’ na staa mwenzake ambaye ana kofia nyingine ya utangazaji, Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanadaiwa kuwa ni wapenzi.
Jux na Vanessa Mdee
Juma Mussa ‘Jux’ akiwa na Vanessa Mdee ‘V-Money’ wanaodaiwa kuwa ni wapenzi.
Madai ya wawili hao kuhusishwa kimapenzi yameendelea kujidhihirisha siku hadi siku na zaidi ni hivi karibuni walipokutana kwenye ziara ya Serengeti Fiesta 2014 mkoani Kagera na Tanga, ambapo muda mwingi walionekana kugandana kama luba hadi wenzao kudai kuwa walikuwa hata wakilala chumba kimoja hotelini
>>Thechoice

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post