SHETTA A.K.A BABA QAYLLAH NA ISHA MASHAUZI KUFANYA BONGE LA SHOW MAKONDE BEACH MTWARA

TANGAZO SHETTA
Hit Maker wa Kelewa Msanii Shetta "Baba Qayllah" na Isha Mashauzi wanatarajia kushusha Bonge la Burudani kwa wakazi wa Manispaa ya Mtwara na Vitongoji vyake siku ya sikukuu ya Nane nane Ndani ya Makonde Beach Mtwara, Kwa kiingilio cha Buku 10,000/=

HAKIKA HII SI YA KUKOSA...!!!!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post