CHIBU DANGOTE ( @Diamondplatnumz ) USO KWA USO NA DAVIDO ( @iam_Davido ) KATIKA TUZO IRAWMA

Diamond Platnumz
Nyimbo ya Mdogo Mdogo ya +Diamond Platnumz Imefanikiwa kuingia katika Kinyang'anyiro cha Nyimbo bora ya Afrika katika Tuzo za IRAWMA za Huko nchini Marekani. Diamond anaungana na wanamuziki wenzake wakubwa tena kwa mara nyingine kama Davido, Bracket, Eddy Kenzo, Willy Paul Msafi, Na Awilo Longomba.


Katika Kuhakikisha Tuzo hiyo Inatua Ardhi ya Bongo @DiamondPlatnumz amikuomba kumpigia kura nyingi uwezavyo katika kipengele hicho nahaya ndio Maneno yake aliyosamema kutokana na Tuzo hiyo:-
Nashkuru sana Shabiki zangu pendwa.. Naamini support yenu ndio imefanya nyimbo hii ya Mdogo Mdogo kuchaguliwa kuwania kuwa Nyimbo bora Ya Africa katika tunzo za IRAWMA nchini America...na namini huu ni mwanzo tu! NOW LET THE VOTING GAME BEGIN!!!! hii ndio Link ya kupiga kura Wadau.. http://irawma.com/irawma_vote2014

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post