BREAKING NEWS:: WANAWAKE WA WILAYA YA KILWA WAANDAMANA, WAKIDAI RUSHA ROHO KUPIGWA WILAYANI HUMO

Lindiyetu news
Wanawake wa wilaya ya Kilwa leo wameandamana hadi kwa mkuu wa wilaya kupinga vitendo vya baadhi ya Masheikh wa kiislam wilayani humo kukataza kupiga Muziki (Rusha Roho)

Endelea kuwa nasi Tutakujuza nini kinaendelea Wilayani humo.
Ungana nasi Instagram kwa picha na stori zaidi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post