Unknown Unknown Author
Title: HAYA NDIO YALIYOMKUTA HAPPINESS MAGESE, SOMA HAPA NAWE UJIHADHARI MAPEMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Happiness Magese (35)...
Happiness Magese
JINA lake kamili anajulikana kama Happiness Millen Magese. Ni mshindi wa Shindano la Miss Tanzania Mwaka 2001. Happiness Magese (35), alikuwa akifanya kazi zake za uanamitindo nchini Afrika Kusini chini ya Kampuni ya Ice Model Management na alikaa huko kwa miaka nane kabla hajahamia katika Jiji la New York, nchini Marekani ambapo amesaini mkataba na Kampuni ya Ford Models mpaka sasa hivi. Ana miaka minne na tayari ameshaongezewa miaka miwili zaidi ya fani hiyo ya uanamitindo duniani.
happiness magese
Happiness Magese anasihi wanawake kucheki afya zao mara kwa mara wasije wakakutwa na tatizo kama lake la ugumba ambalo limeharibu na kibofu chake na kupelekea hata kushindwa kukojoa kwa njia ya kawaida na badala yake anatumia mipira, ni vema kuchek afya mara kwa mara.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

  1. Pole Millen, Mungu atakusaidia utapona mwamini maana hashinwi na jambo lolote. Japo kibinadam tunaona kuna mambo ambayo ni magumu na ukifikiria kwa akili ya kawaida ni kwamba hayawezekani but the Bible says "Yote yanawezekana kwake Yeye Aaminiye" I love you Millen

    ReplyDelete

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top