TAARIFA TULIZOZIPATA KWA MUDA HUU KUTOKA CHANZO CHA HABARI KIMOJA KIMERIPOTI KUWA CLUB MASAI YA KURASINI AMBAYO NI MAARUFU KWA BURUDANI JIJINI DAR INAWAKA MOTO MDA HUU. ZIMA MOTO WAMEFIKA ILA BADO MOTO NI MKUBWA SANA INAHITAJIKA MSAADA WA ZIADA KUWEZA KUUZIMA.
TAARIFA ZAIDI ZITAWAJIA HAPAHAPA LINDIYETU.COM PAMOJA NA PICHA ZA TUKIO ZIMA.
Source: The choice
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.