Breaking NEWS: BALOZI WA LIBYA NCHINI TANZANIA AJIUA OFISINI KWAKE.

lindiyetu news
Na. Ismael Mohamed

Habari zilizotufika Hivi punde zinaeleza kwamba

Balozi wa Libya Nchini Tanzania, Ismail Nwairat Amejiua ofisini kwake baada ya kujipiga Risasi kifuani.

Balozi Huyo alijiua jana Mchana Baada ya Kujifungia Ofisi za Ubalozi jijini Dar es salaam

Taarifa zaidi zitakujia hivi punde usicheze mbali na Lindiyetu.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post