Breaking news: Mnamo saa 8.15mchana.
Kuna tukio hapa Tmj hospital. Majambazi wakikimbia kwa miguu wakitokea kwa Nyerere wamelishambulia basi la magereza lilobeba wafungwa na escort ya polisi kwa risasi kadhaa. Askari magereza na polisi wamejeruhiwa na majambazi yametokomea kusikojulikana. Mahabusu wanashangilia hapa na shughuli zote zimesimama hapa.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.