UPDATES:: TUNAOMBA RADHI KWA TAARIFA HII ILIYOTOLEWA TAREHE 26/6/2014 SAA 1:59 MCHANA. KIMAKOSA UKWELI HUU HAPA

Maskini: Mwanafunzi wa Chuo Anusurika Kifo Baada ya Kuchomwa Moto Akidhaniwa ni Mwizi


Kijana huyu anaitwa LEMA, anasoma chuo cha ruaha a.k.a RUCO huko iringa. Alikuwa sheria mwaka wa nne. Ameitiwa mwizi kumbe sio akachomwa moto. Ameungua ila hajafa, Alitoka kutazama mpra alivokua anarud akawa anaenda bar apate chochote muda ukawa umeisha mlinz akampgia kelele za mwizi wakampiga lakini aliwaambia watu wasimpeleke police akawaelekeza ye siyo mwizi na kitambulisho aliwaonyesha lakini hawakuelewa wakamuwasha moto. Kijana huyu ameungua asilimia 85% ya mwili wake.

WATANZANIA TUNAKWENDA WAPI.....!!!!!?????

UPDATES;;;;; TUNAOMBA RADHI KWA PICHA ILIYOWEKWA AWALI AMBAYO ILISEMEKANA NI YA HUYU KIJANA, BAADA YA UCHUNGUZI WA KINA IMEGUNDULIKA SI SAHIHI KWANI PICHA ILIYOWEKWA NI YA MTOTO ALIYOKO ZANZIBAR NA ANAUMWA KWA KUUGUZA MAJERAHA YA MOTO KWA MIEZI MINNE SASA KATIKA HOSPITALI YA MNAZI MMOJA.
NA MTOTO HUYO HALI YAKE SI NZURI NA ANAHITAJI MSAADA WA HALI NA MALI TAFADHALI KAMA UMEGUSWA WAWEZA WASILISHA MCHANGO WAKO KWA KUWASILIANA KWA NAMBA HIZI HAPA

A/c 051206007686 PBZ-Malindi.
0773569466-mama yake mzazi-kwa mawasiliano tu.
KUCHANGIA.
TUMA kwa Tigopesa 0715424152-Mwandishi wa habari gazeti la Zanzibar Leo(Othman Maulidi)

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post