
Muigizaji mkongwe nchini , Said Ngamba maarufu kwa jina la Mzee Small amefariki dunia usiku huu akiwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar . Mzee Small amefariki kwa ugonjwa wa
presha baada ya kuugua kwa muda mrefu kabla ya kuzidiwa jana na kupelekwa Muhimbili . Mtoto wa marehemu aitwaye , Muhidin amethibitisha kifo cha Mzee
Small.
MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALI PEMA. AMEN !
Tags
HABARI ZA KITAIFA