![Jose Roberto Wright Jose Roberto Wright](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhFobMOg7NIV-j-IcWSjaa5Yc9ax0BNK0Oaab6sgOB76VPANe3vkC_iwWjZ3OYhY_GF6h7pg3PSfTq6nlK5K20leVor0L0hbSqVJsJYcLFHDOiuBO_zuK4b0hnJK0AqZBqGlJUc4NxaZNU/s1600/article-2648331-084FC610000005DC-479_634x420.jpg)
Mwamuzi mstaafu kutoka Brazil Jose Roberto Wright ametoa siri aliyoificha kwa
kipindi cha miaka 24 iliyopita.
Siyo ni kwa sababu babu yangu alitokea England!! hapana bali sababu ilikuwa ni kwamba iwapo England wangeshinda mchezo ule basi mimi ndiye ningepangwa kuchezesha mchuano ule kitu ambao Waitaliano hawakuwa wakikitaka kitokee.
Waitaliano hawakutaka hilo litokee kwa sababu katika fainali mbili za mwaka 1982/1986 ambazo zilichezeshwa na waamuzi toka Brazil walifungwa, katika mchezo huo England ilitupwa nje ya mashindano baada ya kupoteza mikwaju miwili ya penati.
Wright anasema "Ndoto yangu ya kuchezesha mchezo wa fainali ilizimwa na yule mchezaji wa England aliyekuwa na nywele za mbaya mbaya [Chris Waddle] baada ya kukosa penati ya mwisho".
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.