Unknown Unknown Author
Title: HII NI HABARI NJEMA KWA WASIOPENDA PICHA ZA UTUPU, INSTAGRAM YAFUTA NA KUDELETE KABISA PICHA ZA UTUPU.
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, amesema kuwa sheria zake kuhusu picha za utupu hazimbagui mtu yeyote baada ya mta...
Kevin Systrom
Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, amesema kuwa sheria zake kuhusu picha za utupu hazimbagui mtu yeyote baada ya mtandao huo kuamua kuondoa picha za utupu. Afisa mtendaji wa mtandao huo, Kevin Systrom alisema sheria hizo zinalenga kuhakikisha kuwa vijana na watu wazima wanaotumia mtandao huo wanakuwa salama, Masharti ya mtandao huo yanasema mtu harusiwi kuweka picha za watu walio nusu uchi na picha zenye mada ya ngono.
Kevin Systrom
Afisa mtendaji mkuu wa mtandao wa kijamii wa Instagram, Kevin Systrom, ambaye anadaiwa kufuta picha za uchi kwenye mtandao wa Instagram.
"Tunapaswa kuwa na sheria na kuhakikisha kuwa kila mtu anazifuata sheria hizo . Bila shaka tunapata changamoto nyingi lakini tutaendelea kusisitiza umuhimu wa sheria kutafutwa. Alisema Systrom.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top