Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akijibu Mawsali Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji ambaye pia ni Mbunge wa Hanang, Dr. Mary Nagu, Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014.
Ndege akiwa kwenye zuria la Bungeni mjini Dodoma Juni 5, 2014.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Wabunge Zainab Kawawa wa Viti Maalum (kushoto), Sylivester Mabumba wa Dole (wapili kushoto), Vita Kawawa wa Namtumbo na Mwanaharakati wa Haki za Wanawake na Watoto, Mama Terry Gbemudu (kulia) kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Juni 5, 2014.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.