Unknown Unknown Author
Title: JAMANI ULEVI NOMA SANA....!!! MENEJA WA CLUB APOTEZA FAHAMU MARA BAADA YA KUNYWA POMBE HII KUPITA KIASI...!!
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunywa viroba na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakik...
konyagi
Meneja wa Club ya V.I.P mjini Iringa Mick akiwa amezima baada ya kunywa viroba na kisichana kwa kuonyesha uwezo wake na baada ya dakika 20 akazima kama hivi ,hapa nalazimika kukumbuka ule ujumbe wa chonde chonde! ulevi Nomaaaaaaaaaa!?
konyagi
Mlinzi wa eneo la TFA akijaribu kumsaidia baada ya polisi kufika na kuamua kumwacha kutokana na ugonjwa wake wa pombe kutokuwa na daktari wa kutibu.
konyagi
Hapa idadi ya walinzi ikiendelea kuongezeka eneo la tukio mjini Iringa.
konyagi
Ukisema ulevi noma wapo watakaosema ulevi ni sehemu ya kupoteza mawazo ila kwa tukio hilo kila mmoja anaweza ungana nami kuwa kweli ulevi noma hapa ni eneo na TFA mjini Iringa ambapo meneja huyu wa Club ya V.I.P akiwa amezima kwa kunywa pombe kupita kiasi

CDT: MICHAEL NGILINGWA BLOG

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top