Diamond akiburudisha wakaazi wa Songea katika uwanja wa Majimaji
Wakazi wa SOngea wakipiga shangwe za kutosha kwa Burudani kali iliyokuwa ikidondoshwa na Mkali wa Afro Pop Diamond Platnumz Ndani ya Uwanja wa Maji Maji mjini Songea katika Show ya Kili Music Tour
Msanii Diamond Platnumz akiimba pamoja na Ma Fans wake wakati wa Kili Musc Tour Mjini Songea
Ulalaaaaa....!!! Madam Onstage... Lah Ilikuwa ni Noumer sana......
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.