Idriss Sultani ambaye ni mshindi wa Big Brother na Mchekeshaji ameweza kufunguka mambo mengi kuhusu kazi zake na maisha yake ya Ustaa na Mahusiano kiujumla.
Akipiga story na mtangazaji wa Global Tv Online msanii huyo katika Red Carpet ya Show ya "Love Melodies and Lights Event" ambayo ilifanyika usiku wa kuamkia February 19, 2017 kati ya mambo aliyoeleza nikuhusiana na jinsi anavyoweza kuepukana na vishawishi vya walimbwende hasa ukizingatia yeye ni Star.
Pia ameweza kutaja sms anazopokea DM (Direct Massage) katika Mtandao wa Instagram kwa wiki kutoka kwa fans wake. Alipoulizwa fans wake ni watu wanamna gani Mcheshkeshaji huyo aliwaita “Vichaa”.
“Mashabiki wangu kiukweli ni Vichaa hiyo ni halihalisi kwa sababu sioni kama mtu anaweza kuusapoti ukichaa ninaoufanya mimi kama yeye sio kichaa, kwahiyo mashabiki wangu wengi ni Vichaa kiukweli na nikitu kizuli kwasababu nimewapa nafasi ya kuachia ukichaa wao katika nyadhifa kama Hizo. Unajua watu wengi ni vichaa lakini hawataki kusema.” Alisema Idriss
Katika Upande wa mahusiano yake Idriss ameweka wazi kuwa yeye yuko single na ameeleza sababu ya kuachana na Wapenzi wake watatu aliowahi kuwa nao huko nyuma, hivyo amekiri kuwepo katika kundi la Wanzinzi na akaweka wazi list nzima ya wazinzi wenzake na kusema lazima waende Motoni.

Idriss amemtaja Msanii Alikiba ni Pekee ambaye hawezi kwenda Motoni, Sababu ya yeye kutokwenda Motoni Bofya Play kumsikiliza akitiririka.
++++++++++++++++++++++++++++++++++++++
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
KUWA KARIBU NASI LINDIYETU.COM
Usipitwe!! Ungana na Familia hii kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata Infortainment zote!! Usikose kujiunga na Youtube channel yetu ili kupata Exclusive mbalimbali kali kutoka LindiYetu TV
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.