SIRI IMEFICHUKA... ZICHEKI SMS ZA MAPENZI KATI YA KAJALA NA ALIEKUWA BWANA WA WEMA SEPETU. SOMA HAPA

Katika hali isiyokuwa ya kawaida meseji za Aliyekuwa mpenzi wa zamani wa Wema Sepetu, Clement na aliyekuwa rafiki kipenzi Wa Wema, Kajala Masanja zimevuja jinsi walivyokuwa wanawasiliana, na aliyeziweka wazi meseji hizi ni Naima.  Soma hapo chini na jinsi  raia walivyofunguka huko Instagram 

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post