MANENO MAZURI KWA WAPENDANAO, SOMA HAPA

"Hakuna wa kututenganisha, nakupenda sana malikia wa moyo wangu, tulipotoka ni mbali, na tunapokwenda ni mbali zaidi, ahadi yangu ni kukupenda milele katika maisha yangu nakupenda sana chaguo la moyo wangu"
******************************************************************
"Nimekupenda na nitakupenda hadi mwisho wa maisha yetu, siwezi kuishi kwa furaha bila wewe, nakupenda sana mpenzi wewe ni nyota katika maisha yangu, siwezi kuona mbele bila wewe, tushikamane na tupendane milele"
*****************************************************************
Moyo wangu unafurahi sana unapokuwa karibu yangu, napenda sana sauti yako nzuri inapotamka kuwa unanipenda kwani mapigo yangu huenda kasi kwasababu hisia zangu juu yako ni zaidi ya kila kitu nakupenda na nitakupenda milele"

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post