Rehema Charamila aka Ray C amekanusha kilichoandikwa na gazeti la Visa kuwa amerudiana na aliyewahi kuwa mwakilishi wa Tanzania kwenye shindano la Big Brother Africa mara mbili Mwisho Mwampamba. Wawili hao waliwahi kuwa na uhusiano miaka kadhaa iliyopita.
Kupitia Instagram Ray C ameandika: Sijamuona Mwisho na Kama mwaka wa Sita huu!!!udaku Mwingine umezidi kwakweli sipendi……..He is happily married and I respect him!!!!ati I met him last week n we exchanged numbers that’s a big big lie jamani……Am happy and Single….Am loving my life”
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.