WEMA SEPETU ALA SHAVU LA MTANDAO WA SIMU

WEMA SEPETU
Wema Sepetu Amepata shavu la Kutangaza promotion mpya ya Mtandao wa Airtell Ambayo unapata Facebook, Twitter na Whatsapp Bure, Wema Sepetu anawajoin JB na Joti Ambao nao pia kwa sasa wanatangaza Promo za Makampuni ya Simu....Hongera Wema ...
#Team Wema Mpo ??

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post