HILI NDILO KAVA TATA LA WIMBO MPYA WA CYRIL KAMIKAZE AMBALO LIMEKUWA GUMZO, LICHEKI HAPA

Cyril Kamikaze
Rapper wa kundi la Wakacha, Cyril Kamikaze anatarajia kuachia single yake mpya iitwayo ‘Alowa’. Katika kunogesha ujio wake mpya, rapper huyo mwenye asili ya Singida ametease picha ya kava ya single hiyo yenye utata. 

Ni shidaaKatika picha hiyo, Cyril anaonekana akiwa amelala katika ya miguu ya msichana mwenye assets kubwa kama za Masogange.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post