Neuer, Dante, Ribery, Mandzukic, Robben, Boateng, Götze, Lahm, Muller, Alaba, Kroos
Bench: Raeder, van Buyten, Rafinha, Pizarro, Weiser, Hojbjerg, Weihrauch
MANCHESTER UNITED STARTS LINE UPS:
De Gea; Jones, Smalling, Vidic, Evra; Fletcher, Carrick; Valencia, Rooney, Kagawa; Welbeck
Bench: Lindegaard, Büttner, Ferdinand, Giggs, Januzaj, Young, Hernandez
****************
Rio Frednand akipasha misuli sambamba na Mshambuliaji Wyne Rooney wote wachezaji wa Manchester United ndani ya Uwanja wa Allianz Arena Mashabiki wa Timu ya Manchester United wakiwa tayari Kuangalia Mchezo huo dhidi ya Buyern.Mchezaji wa Manchester united Juan Mata naye yupo uwanjani akishuhudia Timu yake ikipambana kufa na kupona kuhakikisha inashinda dhidi ya Buyern. Mchezaji huyu hatocheza kwakuwa alisha cheza ligihiyo kabla ya kuahamia Timu ya Manchester united akiwa na Timu ya chelsea
Bado dakika Kumi Mchezo huo Kuanza…..
Mpira Umeanza……
Dakika ya 5 Buyern wanapata kona ya Pili na wanakosa Maarifa na inaokolewa……
Dakika ya 8: Chance kwa United..Wyne Rooney anapoteza nafasi hapa kwa kupiga shuti butu na kuzuiwa na mabeki. kama angetoa pasi kwa Welbeck tungesema mengine….
Dakika ya 12: Antonio Valencia anapata free kick baada ya kuchezewa rafu….
Dakika ya 17: Goooll No. Ni offside Valencia alikuwa ameweka mpira wavuni lakini kibendera ameeonyesha kuwa tayari alikuwa ameotea
Dakika ya 22: Buyern wanaonyesha Kutawala Mchezo huu kwa kuweza kufika langoni mwa Timu ya Manchester United mara kadhaa lakini wamekosa Ubunifu wa kumalizia mipira hiyo
Dakika ya 27: Kadi ya manjano kwa Vidic baada ya kumchezea vibaya Mandzukic….
Dakika ya 40: Evra ameeumia na anatoka nje kwa ajili ya matibabu lakini refa akuweza kupiga filimbi kuashiria ni adhabu
Dakika ya 43: Nafasi kwa Buyern wanapoteza hapa Roben anapiga shuti kumgonga beki na kutoka nje na kuwa kona na kona hiyo kuokolewa……
Dakika 45 zimeisha za kipindi cha kwanza na zimeongezwa Dakika 2
HALF TIME: BAYERN MUNICH 0-0 MANCHESTER UNITED
KIPINDI CHA PILI KIMEANZA…….
Dakika ya 47: Criss smalling yuko chini ndani ya box ya lango la buyern akiugulia maumivu……
GOOOOOOOOAAAAALLLLLLLLLLLL……..
PATRICE EVRA ANAIPATIA GOLI MANCHESTER UNITED HAPA
GOOOOOOOOAAAAAALLLL Mandzukic ANASAWAZISHA
BAYERN 1-1 Man United
Dakika ya 65: Buyern wanafanya mabadiliko:: Gotze anatoka – Rafina anaingia
BAYERN 2-1 Man United (3-2)
Dakika ya 70: Kadi ya manjano kwa Evra kwa kumchezea vibaya Roben
Dakika ya 75: Kadi ya Manjano kwwa Rafina……
Dakika Ya 75 Manchester United wanafanya Mabadiliko anatoka Deren Fletcher anaingia Chicharito
Dakika ya 82: Mabadiliko: Welbek anatoka Januzaj anaingia
MPIRA UMEMALIZIKA KWA MATOKEO HAYA MANCHESTER UNITED WAMETOLEWA KATIKA MASHINDANO HAYA KWA JUMLA YA MAGOLI 4 – 2
Hii Hapa Video ya Magoli Yote:
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.