Leo Kupitia Mtandao wa Instagram Msanii wa Tanzania Shishi Baby Anayetamba na wimbo wa “Chuna Buzi” ameweza kukumbuka enzi zake akiwa mkoani Tabora Kabla hajapata Ustaa alionao sasa, Kumbukumbu hiyo leo aliweza kuikumbuka kwa kutupia picha Hii na Kuandika “Unaweza ukaniambia huyo ni nani????????# team# Tbt#” na followers walitiririka mengi kuhusiana na picha hiii
HUYU NDIO SHILOLE WA ENZI HIZO, CHEKI PICHA
Title: HUYU NDIO SHILOLE WA ENZI HIZO, CHEKI PICHA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Leo Kupitia Mtandao wa Instagram Msanii wa Tanzania Shishi Baby Anayetamba na wimbo wa “Chuna Buzi” ameweza kukumbuka enzi zake akiwa mkoani...
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.