Msanii Nicki Minaji ambaye anampango wa kuongeza nguvu kwenye tasnia ya filamu.
Msanii wa muziki wa Hip Hop na Rn B kutoka nchini Marekani amejipanga kuelekeza nguvu zaidi katika tasnia ya filamu mara baada ya kung‘aa kwenye filamu aliyoigiza ya ‘The other Woman‘.
Katika filamu hiyo Nick ameigiza na Cameron Diaz, Kate Upton na Lesilie Mann. Kupitia filamu Nick amecheza kama muhusika mdogo ambapo kwa sasa anataka kufanya filamu kama muhusika mkuu. Hebu cheki clip yake hapa:
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.