BARNABA KUREJEA TANZANIA NA GITAA JIPYA

Msanii Barnaba akiwa na Gitaa mpya.

Msanii mwenye sauti ya pekee nchini Tanzania ambaye ametokea nyumba ya vipaji nchini Tanzania (THT) maarufu kama Barnaba yupo mbioni kurejea nchini mara baada ya kutimkia Marekani siku chache zilizopita.
Gitaa mpya alilolinunua nchini Tahiland.

Kupitia ukarasa wake wa Instagram Barnaba ameandika kwamba anatarajia kurejea nchini na zawadi ya gitaa la kisasa alilolinunua nchini Thailand. Ameongeza kwamba limemgharimu pesa nyingi japokuwa hakutaja kiasi husika alichonunulia.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post