MAFIKIZOLO WASHINDA TUZO NANE ZA SOUTH AFRIKA MUZIKI AWARD

Wasanii wanaounda kundi la muziki la mafikizolo kutoka Afrika ya Kusini.

Kundi la muziki kutoka Afrika ya Kusini limeshinda tuzo nane ambazo zinajulika kama “South Africa Muzic Award”. Hili ni moja ya kundi ambalo limeshawahi kufanya show kadhaa nchini Tanzania, ambapo onesho la moja lilifanyika Mliman City mwezi uliopita.

Miongoni mwa vipengele walivyoshinda ni pamoja na album ya mwaka, kundi bora. Wasanii wengine waliopata tuzo hizo jana usiku ni pamoja na Zahara, Kabomo, Nakhane Toure, Ifan Big Nuz, Micasa muziki na wengine.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post