HALIMA KIMWANA ASEMA "KWA DIAMOND, NIPO TAYARI KUFA"

Dada wa hiyari Halim akiwa na staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’,
DADA wa hiyari wa staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’, Halima Kimwana amejichora tatuu ya jina la staa huyo na kudai anampenda na yupo tayari kufa kwa ajili yake.

Alisema ukaribu wake ni wa kawaida lakini yupo tayari kufa badala yake (Diamond).

“Nipo tayari kufa kwa ajili ya Diamond, nimechora tatuu ya jina lake mkononi kuonesha msisitizo, namkubali” alisema Halima

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post